Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"Watu ambao ni muhimu kwako zaidi mtandaoni"

Mifano

Kwa mfano, unapocharaza anwani katika sehemu ya Kwa, Cc, au Bcc ya ujumbe unaotunga, Gmail itapendekeza anwani kutoka kwenye orodha yako ya Unaowasiliana nao. Kwanza Gmail itapendekeza anwani ambazo wewe hutumia barua pepe mara kwa mara. Pata maelezo zaidi.

Hufunguka katika kichupo kipya(hufungua tanbihi chini ya ukurasa)
Programu za Google
Menyu kuu